Dkt. Bilal aonya juu ya uvuvi haramu nchini
Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib Bilal ameonya kuwa uvuvi haramu unaofanywa na wavuvi katika maeneo ya pwani ya bahari ya Hindi unatishia kutoweka kwa matumbawe jambo ambalo lina madhara makubwa ya mazingira ya nchi.