Mwamuzi Mbeya City Vs Yanga alikuwa sahihi: Kamati
Kamati ya Waamuzi ya Shirikisho la Soka Tanzania imesema kuwa maamuzi yaliyofanywa na mwamuzi wa mchezo kati ya Mbeya City na Yanga siku ya jana katika dimba la Sokoine Mbeya, yalikuwa sahihi kwa asilimia 100.