Simba wazidi kuikimbia Yanga kwa point Ligi Kuu

Shiza Kichuya (Kulia) akishangilia bao

Vita kubwa kwenye ligi kuu ya soka Tanzania bara imeendelea kurindima kwenye viwanja sita hii leo huku vinara wa ligi hiyo Simba SC wakiendelea kuwaacha kwa mbali wapinzani wao Yanga.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS