Mkurugenzi wa upelelezi makosa ya jinai atenguliwa
(DCI) Diwani Athumani. ambaye nafasi yake ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai imetenguliwa na Rais Dkt. Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli leo tarehe 29 Oktoba 2016 ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Diwani Athumani.