ACT Wazalendo ngangari ipo tayari Zitto achunguzwe

Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe

Chama Cha ACT Wazalendo kimesema kipo tayari kiongozi wao Zitto Kabwe achunguzwe mali zake kufuatia kauli aliyoitoa jana Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka akitaka waliokuwa viongozi wa kamati wa kamati za bunge za mashirika ya umma wachunguzwe.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS