Trump alipa fidia ya utapeli wa chuo chake
Mwanasheria Mkuu wa jimbo la New York nchini Marekani amesema rais mteule wa Marekani Donald Trump amelipa fidia ya dola milioni 25 kufuatia mashauri matatu yaliyofunguliwa dhidi yake kufuatia utapeli wa chuo kikuu cha Trump

