Nyota mpya wa Azam achimba mkwara Ligi Kuu Bara
Nyota mpya wa Klabu ya Azam FC, Samuel Afful, ameweka wazi kuwa kikosi hicho kitakuwa moto kuelekea michuano mbalimbali itakayoshiriki kuanzia mwezi ujao kutokana na ujio wake na aina ya wachezaji aliowaona ndani ya timu hiyo.
