Asilimia 40 ya silaha zilizosajiliwa, hazijakikiwa Kamishna wa Polisi Robert Boaz - Kaimu DCI Jeshi la Polisi Tanzania latoa mwezi mmoja kuanzia 21/11/2016 hadi 20/12/2016 kwa wanaomiliki silaha kujitokeza kwa ajili ya uhakiki wa silaha zao. Read more about Asilimia 40 ya silaha zilizosajiliwa, hazijakikiwa