Watu milioni 2.3 nchini Msumbiji wakumbwa na ukame

Mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu masuala ya El Niño na mabadiliko ya tabianchi, Balozi Macharia Kamau.

Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu masuala ya El Niño na mabadiliko ya tabianchi, Balozi Macharia Kamau, amesema athari za mabadiliko ya tabia nchi zinaonekana dhahiri nchini Msumbiji.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS