Wakuu wa mikoa saba 'wakalia kuti kavu'
Serikali imetoa muda wa hadi Januari mwakani kwa wakuu wa mikoa saba ambao mikoa yao haijamaliza tatizo la madawati kukamilisha kazi hiyo na kusema kwamba, iwapo watashindwa baada ya hapo watakuwa wameshindwa kwenda na kasi ya serikali ya awamu ya 5

