EATV AWARDS zitaongeza thamani ya mauzo - TAFF
Rais wa Shirikisho la Filamu nchini (TAFF) Simon Mwakifwamba amesema tuzo ambazo zimeandaliwa na EATV ambazo zipo kwenye mchakato sasa na wasanii mbalimbali wamejitokeza kujipendekeza katika tuzo hizo zitasaidia wasanii kupaa katika mauzo ya kazi zao