Taasisi zote za umma kujiunga na huduma za bima
Serikali ya Tanzania imesema itahakikisha taasisi na mashirika yote ya umma yanajisajili na huduma za bima kutoka Shirika la Bima la Taifa kama mwongozo wa serikali unavyoelekeza sambamba na kuongeza mchango wa bima kwenye ukuaji wa uchumi.

