Kundi B kuzindua ligi ya soka ya wanawake Dodoma Ligi Kuu ya Soka ya Wanawake Tanzania Bara rasmi inatarajiwa kuzinduliwa mkoani Dodoma Novemba Mosi Mwaka huu kwa timu za kundi B kuzindua ligi hiyo. Read more about Kundi B kuzindua ligi ya soka ya wanawake Dodoma