Mwamuzi Liverpool Vs Man United amponza Mourinho

Jose Mourinho

Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho ameshitakiwa na Chama Cha Soka nchini Uingereza FA, juu ya maneno yake kwa mwamuzi, Anthony Taylor, aliyechezesha mechi baina ya Manchester United na Liverpool wiki mbili zilizopita.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS