TEHAMA kumaliza kero za afya, elimu na ajira TZ
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano imeainisha maeneo ya ubunifu ndani ya sera mpya ya Teknlojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ili kufanikisha utatuzi wa masuala mbalimbali katika jamii na kuondoa changamoto ya ajira kwa vijana.