Ban ateta na Rais Zuma kuhusu ICC
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon leo amekuwa na mazungumzo kwa njia ya simu na Rais wa Afrika ya Kusini Jacob Zuma, akimshukuru kwa mchango wake katika masuala ya amani Afrika na suala la mabadiliko ya tabia nchi.