Adhabu ya kifo dhidi ya Mohammed Morsi yatenguliwa Mohammed Morsi Mahakama ya juu nchini Misri imetengua adhabu ya hukumu ya kifo dhidi ya Rais wa zamani wa nchi hiyo aliyeondolewa madarakani Mohammed Morsi. Read more about Adhabu ya kifo dhidi ya Mohammed Morsi yatenguliwa