Ma-star wamtetea Miss Tanzania
Baada ya mrembo Diana Edward kutoka Kinondoni jijini Dar es salaam kutangazwa mshindi wa taji la 'Miss Tanzania' na kuandamwa na maneno kwenye mitandao, watu mbalimbali wajitokeza kumtetea mrembo huyo mwenye asili ya kimasai.