Tenisi walemavu yawaalika Wakenya michuano ya wazi
Kocha wa Timu ya Taifa ya mchezo wa Tenisi walemavu Riziki Salum amesema mashindano ya wazi yatakayoishirikisha nchi ya Kenya yatasaidia kuinua vipaji vya wachezaji wake ambao wanajiandaa na kalenda ya mwakani.