Godbless Lema - Mbunge wa Arusha Mjini katika moja ya mikutano yake
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema, amesafirishwa kutoka Mkoani Dodoma usiku wa kumkia jana na kuswekwa kwa mara nyingine tena Mahabusu Mkoani Arusha kwa mahojiano ya kutoa lugha za uchochezi.