Mazingira ya shule huchangia saratani kwa wanawake

Vyoo vya shule katika moja ya shule Tanzania

Viongozi wa Mikoa na Halmashauri pamoja na wamiliki wa shule kote nchini wametakiwa kuweka mazingira salama ya upatikanaji wa vyumba vya vyoo, ili kuwaepusha watoto wa kike wawapo katika hedhi dhidi ya maradhi yanayoathiri mfumo wa uzazi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS