African Lyon yawatosa wachezaji wa kigeni African Lyon Uongozi wa Benchi la Ufundi la African Lyon umesema, unasajili kwa kuangalia mapungufu yaliyojitokeza katika kipindi cha kwanza lakini hawatachukua wachezaji wa kimataifa ndani ya kikosi hicho. Read more about African Lyon yawatosa wachezaji wa kigeni