Nigeria hatarini kwa mlipuko wa ugonjwa kupooza
Nigeria imetangaza mtu wa tatu wa maradhi ya kupooza katika jimbo la Borno kaskazini mashariki mwa nchi hiyo wakati Shirika la Afya Duniani (WHO) likionya juu kuwepo na hatari ya kuongezeka kwa wagonjwa wa maradhi hayo.