Chama cha Kans. Merkel chaanguka uchaguzi wa mikoa
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel
Washirika wa Kansela wa Ujerumani Angela Merkel wamemtaka kiongozi huyo kubadilisha mwelekeo wa sera zake za wakimbizi baada ya chama chake cha CDU kushindwa katika uchaguzi wa kimkoa