Mbunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki na ni mwanakamati wa kamati ya fedha katika bunge hilo Mhe. Nderakindo Kessy.
Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) limebaini ubadhirifu wa fedha za jumuiya hiyo kufuatia ripoti maalum iliyowasilishwa na kamati ya fedha ya jumuiya jijini Arusha.