Makundi 5 kuaga Dance100% Jumamosi hii
Shindano la Dance100% linaloendeshwa na kituo cha East africa Television linaingia katika hatua ya nusu fainali kesho Jumamosi Septemba 3 , 2016 katika viwanja vya Don Bosco Jijini Dar es salaam kuanzia saa sita kamili mchana.