Wadau wataka uchunguzi, kupungua mizigo bandarini Moja kati ya mabehewa 50 ya kubebe makasha, likishushwa kutoka kwenye meli, bandarini jijini Dar es Salaam. Wadau na watumiaji wa bandari ya Dar es Salaam wameiomba serikali kufuatilia kiini cha kushuka kwa uingiaji wa meli za mizigo katika bandari hiyo. Read more about Wadau wataka uchunguzi, kupungua mizigo bandarini