"Baada ya kushindwa Dance100%, tutaimarisha kundi"
Kundi la The Heroes ambalo lilishiriki Dance100% kwa mara ya tatu mwaka huu na kufanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali na hatimaye kushindwa kufuzu fainali limesema litaimarisha kundi lao ili kuendelea kushiriki kazi nyingine .