Ekari 336 za bangi zateketezwa Dodoma

Shamaba la bangi likiteketezwa

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini, imefanikiwa kuteketeza ekari 336 za mashamba ya bangi pamoja na mirungi kilogramu 148, yaliyokuwa ndani ya hifadhi ya Ikome wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma yakiwa yamechanganywa na mazao mengine.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS