Wanawake Single wanaona bora Mbwa kuliko Mwanaume Picha ya Mwanamke akiwa na Mbwa wake Utafiti wa The Kennel Club unaonyesha asilimia kubwa ya wanawake walio-single wanapendelea urafiki wao mkubwa na Mbwa kuliko kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume. Read more about Wanawake Single wanaona bora Mbwa kuliko Mwanaume