Mama na wanae wafariki akijaribu kuoko watoto
Watu watano wakiwemo watatu wa familia moja, wakazi wa kata na kijiji cha Bulige halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga, wamekufa baada ya kuzama kwenye dimbwi la maji, lililopo jirani na makazi yao.