Yamal afikisha michezo 100 kwenye soka la kulipwa Lamine Yamal - Winga wa Klabu ya Barcelona Winga wa FC Barcelona Lamine Yamal amefikisha michezo 100 katika soka la kulipwa akiwa na umri wa miaka 17 akifunga mabao 21 na assist 28 Read more about Yamal afikisha michezo 100 kwenye soka la kulipwa