Wacongo elfu 86 wamekimbilia Burundi
Wakati mzozo ukiendelea katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ambayo inapakana na Burundi, zaidi ya watu 10,000 wamekimbilia nchini Burundi, Wizara ya Mambo ya ndani ya Burundi imethibitisha kuwa mpaka sasa Burundi tayari inahifadhi jumla ya wakimbizi zaidi y