Usuluhishi waanza Ukraine na Urusi

Wakati viongozi wa Umoja wa Ulaya wakijiandaa kukutana mjini Paris kwa mkutano wa dharura kuhusu Ukraine, Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergei Lavrov amesema hakuna jukumu lolote kwa Ulaya katika mazungumzo yoyote ya amani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS