Fulsa zinazoahidiwa nchini ziwekewe tathmini
Fulsa mbalimbali zinazojitokeza nchini kutoka kwa viongozi wa nchi za nje ambao wanakuja nchini kwa lengo lakushirikiana kiuchumi ni lazima serikali iweke chombo chakufanya tathimini kwa ahadi mbalimbali zinazotolewa.