Jiungeni na chuo cha Serikali za Mitaa mpate ajira
Viongozi wa Mikoa na Halmashauri zote nchini Tanzania wametakiwa kuhakikisha kwamba watumishi na waajiriwa wote ngazi ya mamlaka za serikali za mitaa wanahudhuria mafunzo ya namna bora ya kutoa huduma kwa wananchi wao.