Camon C9 mapinduzi ya mawasiliano duniani yatua TZ
Makampuni yanayotoa huduma za simu za mkononi na mawasiliano yametakiwa kuboresha huduma zao mara kwa mara ili kuleta matokeo chanya yanayoendana na wakati na mahitaji katika sekta ya mawasiliano nchini.