Wanaoiba miundombinu ya Tanesco kukiona
Mkurugenzi Mtendaji Shirika la Ugavi wa Umeme nchini Tanesco Mhandisi Felchesmi Mramba amesema bado kuna tatizo la baadhi ya wananchi kuiba miundombinu ya umeme na kusababisha usumbufu wakukosekana kwa huduma hiyo vizuri.