Upelelzi Kesi ya Boniface Jacob, waharakishwa
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeitaka Serikali kukamilisha upelelezi kwa wakati, kesi ya kusambaza taarifa za uongo inayomkabili Meya wa zamani wa Kinondoni na Ubungo, Boniface Jacob maarufu Boni Yai pekee yake.