Upelelezi wakwamisha Kesi bwana harusi aliyejiteka
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeipiga tena kalenda, Kesi namba 35738/2024 inayomkabili mfanyabiashara Vicent Masawe maarufu kama ‘baba harusi aliyejiteka’, kwakuwa upelelezi wake bado haujakamilika