Mvua yenye upepo yaezua nyumba 10 Sumbawanga Jumla ya nyumba 10 zimeezuliwa na nyingine kuanguka kufuatia mvua kubwa iliyonyesha ikifuatana na upepo mkali katika Kijiji cha Luwa, Manispaa ya Sumbawanga, mkoani Rukwa. Read more about Mvua yenye upepo yaezua nyumba 10 Sumbawanga