Rais Mgufuli afanya uteuzi TBS, Mamlaka ya Uvuvi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Makenya Abraham Honoratus Maboko kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS). Read more about Rais Mgufuli afanya uteuzi TBS, Mamlaka ya Uvuvi