Maguli kumfuata Julio Mwadui FC

Mshambuliaji wa Stand United, Elias Maguli

Mshambuliaji wa Stand United Elias Maguli ambaye amekuwa hana mwendelezo mzuri kwenye klabu yake na anatarajia kujiunga na wapinzani wao mwadui FC ya mjini Shinyanga.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS