Mtanzania awa Mjumbe Baraza Simamizi la Benki LDCs
Mtanzania Bitrina Diyamett, ni miongoni mwa wajumbe 10 wa baraza simamizi lililotangazwa leo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa lengo la kusimamia maandalizi ya benki itakayoanzishwa kwa ajili ya kuimarisha teknolojia kwenye nchi zenye maendeleo.