Asilima 52 watoto Njombe wanautapiamlo na Udumavu Kaimu mkuu wa mkoa wa Njombe na wilaya ya Ludewa, Anatory Choya, Mkoa wa Njombe licha ya kusifika kuwa unaongoza kwa kilimo na chakula umedaiwa kuwa na asilimia 52 za watoto wenye utapiamlo kutokana na utafiti uliofanywa hivi karibuni. Read more about Asilima 52 watoto Njombe wanautapiamlo na Udumavu