Mbeya City yaanza kujipanga upya kutumia Wambeya
Baada ya kumalizika kwa michuano ya ligi Kuu Tanzania bara msimu huu wa mwaka 2015/2016 timu ya Mbeya City imeanza mikakati mizito ya kujipanga kuhakikisha msimu ujao inakuwa moto wa kuotea mbali kama ilivyokuwa awali ikipanda daraja.