Serikali kujenga uzio vituo vya polisi - Masauni

Naibu Waziri wa mambo ya ndani Hamad Masauni amesema kwamba serikali itajenga uzio na maduka katika vituo vya polisi kwa lengo la kuviweka salama zaidi dhidi ya wavamizi pamoja na maduka ya kuuza bidhaa kwa ajili ya kuviwezesha kuweza kupata fedha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS