Prof. Mkenda: Wanafunzi Someni Masomo ya Sayansi
Serikali ya Tanzania imesema inaendelea kuweka mazingira yatakayowawezesha wanafunzi wenye uwezo wa kusomea masomo ya Sayansi katika elimu ya Sekondari kujiunga na vyuo vya elimu ya juu ili kuwa na wanasayansi wengi zaidi nchini