Wagonjwa wa Moyo wapandikizwa Mishipa ya Damu
Taasisi ya Moyo ya Jakaya kikwete Katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa kushirikiana na Hospitali ya BLK ya nchini India kwa mara ya Kwanza imefanya upasuaji mkubwa wa Moyo kwa wagonjwa 12 kwa kupandikiza mishipa ya damu buila moyo kusimama