"Niliumia nilivyoandikwa nimemtukana Ngwea"-Dimpoz Ikiwa zimesalia siku chache tu kuadhimishwa kwa miaka mitatu ya kifo cha msanii wa Hip Hop na mkali wa Free style Albert Mangwea, Ommy Dimpoz amefunguka mengi kuhusu msanii huyo. Read more about "Niliumia nilivyoandikwa nimemtukana Ngwea"-Dimpoz